mgawanyo wa mali chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MKURUGENZI WA SHERIA CHADEMA: Mrejesho wa shauri la marejeleo Na. 8323/2026 na Kesi ya Msingi ya mgawanyo wa mali na maombi madogo Na. 8960/2025

    Mahakama ya Rufaa, iliyoketi jijini Dodoma jana ilipata maelezo kutoka kwa mawakili wa wadawa kuhusiana na marejeo ya shauri la madai Na. 8323/2026 shauri la msingi, pamoja na Maombi madogo namba 8960/2025 maombi ya zuio kwa Chama kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za chama. Kuhusiana...
  2. Mahakama Kuu kutoa uamuzi wa kumjumuisha Lissu kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA

    Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa kuhusu hoja ya Mheshimiwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuomba kujumuishwa kama mshitakiwa katika kesi inayoendelea inayohusu mgawanyo wa mali za chama Machi 3, 2026. Katika kesi hiyo iliyofunguliwa na aliyekuwa...
  3. Pingamizi kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA latupiliwa mbali

    Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, ameeleza kutoridhishwa na uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliotupilia mbali mapingamizi ya chama hicho katika shauri la mgawanyo wa mali. Uamuzi huo umetolewa leo, Jumatano...
  4. John Mnyika aelezea hisia zake baada ya maamuzi ya Mahakama kuhusu mgawanyo wa mali

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliotaka kuruhusiwa kuendelea na shughuli za kisiasa, baada ya zuio lililowekwa kutokana na kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho. Akizungumza baada ya uamuzi huo Agosti 18...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…