Hivi hivi Ndugu zangu, Ukweli ni kwamba , Yale Mabadiliko ya Sheria za Vyama vingi mwaka 1992, yalipoondoa Sheria ya Ugawaji majimbo kulingana na Idadi ya Watu, Kwa wakati ule wa Chama Kimoja, na Upinzani wa kawaida, Sheria hiyo iliondoshwa Si Kwa sababu Kura nyingi zilikua Mjini , La Hashaa...
Mgawanyo wa majimbo ya uchaguzi ni hatua muhimu katika mchakato wa Demokrasia nchini Tanzania.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inawajibika kuhakikisha kuwa majimbo yanagawanywa kwa kuzingatia vigezo kama idadi ya watu, jiografia, na mahitaji ya uwakilishi wa wananchi.
Katika Uchaguzi...
Huku Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) ikipokea mapendekezo ya Kamati ya Wilaya Ilala (DCC) na kuridhia kuhusu kugawanywa kwa Jimbo la Ukonga na kuanzishwa kwa Jimbo jipya la Kivule, mchuano unatajwa kuwa utakuwa mkali wa Jimbo jipya la Kivule huku jina la Dougras Didas Masaburi...
Kamati ya ushauri ya wilaya ya njombe imeridhia mapendekezo ya kubadili jina la jimbo la uchaguzi la Njombe Mjini na kuitwa jimbo la Njombe Kusini
Wakizungumza katika kikao maalumu kilichofanyika leo Mchi 22, 2025 katika ukumbi wa halmashauri ya mji na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa...
Kumekuwa na mchakato wa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi hasa ya ubunge kwa kuzingatia vigezo vilianishwa na serikali
Kihoja kimejitokeza katika Halimashauri ya Tunduru ambayo ina wakazi takriban 400k, wabunge, madiwani na hata viongozi wa Halmashauri wameacha kutekeleza mchakato huo kwa kigezo...
KIKAO cha Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa (RCC) wa Geita kimeridhia majimbo mawili ya uchaguzi ya Chato na Busanda yagawanywe kupata majimbo manne ili kuchagiza maendeleo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
Tuko live kwenye mkutano wa Viongozi wa Chadema na Jukwaa la Wahiriri wa habari.
Mambo yanayozungumzwa humo ni mazito sana.
Tundu Lissu anasema kuna hali isiyo na usawa ktk kugawa majimbo sehemu mbali mbali nchini.
Anatoa mifano kuwa Dar yenye wapiga kura zaidi ya milioni 3 ina majimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.