mfumo wa siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mfumo wa siasa Tanzania umekufa rasmi 2025 tuna mfumo wa kipolisi

    Mfumo wa siasa Tanzania umekufa rasmi 2025 tuna mfumo wa kipolisi. Mfumo umebaki kwenye vitabu vya sheria ambao hata haufutwi. Kama taifa tuna haya 1. Tufufue mfumo tena 2. Tuweke katiba mpya 3. Kama tunapenda mfumo huu wa Kipolisi ambao sidhani kama watanzania wana utaka basi wekeni...
  2. K

    Sababu za uchumi kurudi nyuma: Mfumo wa siasa na Ufisadi

    Sababu za uchumi kurudi nyuma: Mfumo wa siasa na Ufisadi. Mfumo wa siasa mbaya unapunguza wawekezaji wa muda mrefu maana mfumo huu unaleta mapingano mengi ya kisiasa, utekaji na kikundi maalumu cha mtandao ambao wenyewe tu ndiye wanaonufaika. Sababu ya pili ni ufisafi mkubwa mipangilio ya nchi...
  3. kichongeochuma

    Mfumo wa siasa za upambe na kujipendekeza utaendelea kuitafuna CCM

    Mtindo huu utaitafuna sana CCM na kuna baadhi ya mambo wanayajutia kuyakubali kwa upambe lakini ndiyo hali waliyo iruhusu wenyewe CCM ya sasa ukiweza ku mobulise wajumbe kwa namna yeyote ya kuwafurahisha basi unaweza kuwa rais hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi
  4. J

    Tundu Lisu: Tatizo siyo Awadh au Polisi bali Mfumo mzima wa CCM kumiliki Dola, ndio sababu nikiingia madarakani nitaleta Katiba Mpya!

    Huyu Mwamba wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameiva kisiasa na kiuongozi kweli kweli Lisu pamoja na kuvutwavutwa na mapolisi lakini anasema tatizo siyo Awadh bali ni Mfumo mzima Ni kama Yesu aliposema " baba uwasamehe hawajui watendalo" katika yale maneno 7 ya Msalabani kabla Ukombozi...
  5. T

    Kufanya siasa za upinzani Tanzania ni kupoteza muda fedha na kujishushia hadhi mfumo wote umeundwa kukibeba chama tawala

    Mwenye macho haambiwi tazama kwa mfumo wa uongozi wa taifa letu ambapo rais anakuwa na nguvu nyingi kiwango kinachomfanya hata asie mkubali kujipendekeza kwake ni ngumu sana kwa wapinzani kuambulia chochote sanasana watakacho ambulia ni kile ambacho watawala wametaka. Tunadanganywa kwamba eti...
Back
Top Bottom