Naombeni ushauri, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 ila ninapenda kula UGORO kwa takribani miaka 6 sasa toka niko A level Morogoro Sekondari, Chuo UDSM na sasa niko kitaa nawait ajira ila kila nikitaka kuacha kula Siwezi kabisa. Sasa nishaurini Dawa ya kuacha kula UGORO maana ndio STIMU yangu...