Wakuu habari za wakati huu
Kuna member fulani tulifahamiana kupitia JF, Bahati mbaya Mimi ndo niliweka namba yangu kwenye moja ya thread ya member wa humu JF aliyowahi kupost...
Wasifu wake yeye ni daktari (kulingana na ukaribu na maelezo tuliyowahi kushare kipindi tunawasiliana) tulishauriana...