Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya Kesho ni Siku Ambayo Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anakwenda kuzungumza na Taifa na Dunia nzima kwa ujumla wake.
Ni Siku Ambayo Mama yetu na Rais wetu Mbeba Maono na Moyo Wa Taifa letu...