mei mosi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sijawasikia Chadema kuzungumzia maslahi ya wafanyakazi Leo hii Mei Mosi 2025

    Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo. Wafanyakazi ni kundi muhimu sana la wapiga kura hivyo unahitaji kuwa sensitive na proactive kulishawishi kundi hili. Rais Samia na CCM yake...
  2. PreGE2025 Sheikh akiomba dua Mei mosi asema 'Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia'

    “Eeh Mola wetu umpe faraja Rais samia, na faraja anayohitaji ni mitano Mingine, Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia” Sheikh - Mkoa wa Singida
  3. Rais Samia: Ombi la posho zenu zisikatwe kodi tumelisikia na tutalifikisha kwa wahusika

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali imepokea ombi la wafanyakazi wa umma la kutojumuishwa kwa posho za wafanyakazi katika makato ya kodi na kuahidi kulifikisha suala hilo kwa vyombo husika vinavyoshughulika na masuala la mapato. Ombi hilo liliwasilishwa na Katibu Mkuu Shirikisho la Vyama...
  4. PreGE2025 Waziri mkuu: Wafanyakazi hawana deni na Rais, bali Rais ndiye anawadai

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema wafanyakazi wanafurahishwa na maboresho wanayofanyiwa na Serikali ya awamu ya sita. Ameyasema hayo leo Alhamisi Mei 1, 2025 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ‘Mei Mosi’ mkoani yanayofanyikia kitaifa mkoani Singida ambapo mgeni...
  5. I

    Mei mosi ya matumaini: Rais Samia aandika rekodi mpya ya wafanyakazi Tanzania

    Leo hii, taifa zima linaitazama Singida ambako maelfu ya Watanzania wanaadhimisha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi. Lakini kilicho tofauti mwaka huu si tukio lenyewe, bali hisia mpya zinazoambatana nalo: matumaini, faraja, na shukrani kwa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika macho...
  6. Ninaloona kama faida leo kwa watumishi kwenye Mei Mosi 2025

    1. Ni kutoenda kazini na kupata faida ya kupumzika na wenye mishe zao kuzifanya. 2. Kwenda kushuhudia mama akifanya kampeni kmy kmy kwa kisingizio cha mei mosi. 3. Kushuhudia shoo ya wasanii ambao ni machawa na comedy nyingi tu. 4. Kimasirahi kilio ni kile kile na ahadi zisizotekelezeka. 5...
  7. Singida: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025

    Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Mkoani Singida kitaifa, leo tarehe 1 May, 2025. https://www.youtube.com/live/MHXv41BdFrI?si=s-YLjva6CvZuccs_
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…