Mwamuzi Msaidizi namba mbili katika mchezo wa Yanga SC na Simba SC, Hamdan Said amemfungiwa miezi mitatu kwa kosa la kusimamisha shambulizi la mchezaji Prince Dube dhidi ya Simba dakika ya 61, akidai alikuwa eneo la kuotea.
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu imesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.