Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Mchungaji Moses Matonya, amesema viongozi wa Tanzania wana wajibu mkubwa katika kuhakikisha amani, umoja na mshikamano vinaendelea kudumu nchini, hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza Jumatatu, Oktoba 27, 2025...