mchumba wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Intelligent businessman

    Ni jambo gani mchumba wako alifanya, ukajua huwezi kumuoa au kuolewa naye

    Mahusiano ni jambo zuri, ila muda mwingine ni tabu tupu mnapo kutana watu wawili wenye mitazamo, hisia, malengo au mienendo tofauti. Kuna mambo ikitokea mwenza wako kafanya ni ngumu kuya kubali, na ndio mwisho wa mahusiano. Je ni jambo gani mchumba ako ali fanya ukasema this is it, hakuna cha...
  2. GENTAMYCINE

    Angalia vidole vya Mguuni vya ama mpenzi wako vikiwa kama nitakavyoelezea Furahi

    Vikiwa vimetanuka (vimeacha nafasi kubwa kati ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba....... Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye HAJATULIA, HATOTULIA katika Mahusiano yenu na MTASUMBUANA 24/7 Vikiwa vimebanana (huoni uwazi wowote ule mkubwa baina ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba...... Una Mke au...
  3. R

    Naipongeza mikoa hii angalau wanaume huheshimiana wanapojua mwanamke ana mme au boyfriend

    wanaomendea wake / madem wa wanaume wenzao hawajawahi kukosekana kwenye mji wowote lakini mikoa hii angalau kuna kuheshimiana, MARA MWANZA RUKWA KIGOMA IRINGA
  4. Tlaatlaah

    Mchumba, mpenzi au mke wako ali wahi kukusitiri dhidi ya fedheha gani iliyokuchochea kumpenda na kumthamini zaidi?

    Katika maisha kuna mambo mbalimbali tunapitia kama binadamu, mengine ya furaha lakini pia mengine ni ya huzuni na ya kutisha.... Hivi ulishawahi kujikuta katika hali, kitendo au mazingira ya fedheha na aibu sana, na haukua na namna ya kuepuka fedheha hiyo, mara ghafla mpenzi, mchumba au mke...
Back
Top Bottom