Mbunge wa Jimbo la Bumbuli anayemaliza muda wake, January Yusuph Makamba, amesema amepokea kwa moyo mkunjufu na utulivu maamuzi ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya kumuengua kwenye orodha ya wanachama wanaowania kuteuliwa kugombea ubunge katika jimbo hilo kuelekea uchaguzi mkuu wa...
Kutokana na malalamiko ya mchakato wa mgombea Urais kwa CCM ni vigumu wote waliokatwa kwenye mchakato wa ubunge kutulia.
Lazima kutapatikana kikundi cha upinzani kama tulivyokuwa sisi pale Chadema ya Bwana Mbowe.
Hata kama kikundi hicho hakitasikilizwa na kushinda miaka hii ukosoaji wao...
Baadhi ya wanachi Arusha wametoa maoni yao baada ya CCM kutangaza majina ya Wabunge waliowateua na kuwatema na baadae wajumbe watakaochagua mgombea mmoja ambaye atasimama kukiwakilisha chama katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba mwaka huu.
Katika Jimbo la Arusha Mjini...
Chawa wa Mama naona wanafanya ionekane CCM ni chama Kikubwa !!
La hashaa !!.
CCM ni chama kilichojifia, kilichochokwa na watanzania na Kipo kwenye Hatua ya mwisho ya Kifo chake , CCM hakuna namna yoyote Ile ya kufanya kiwe hai mioyoni Kwa Wananchi.
In fact, Watu wamechoka tu kuongozwa na...
Baada ya kupitisha mabadiliko ya katiba Rais Samia ameeleza kuwa watajitahidi kuingiza vijana wengi kwenye nafasi hizo za uwakilishi.
"Na sasa mnatupa nguvu ya kuanza hii kazi ya kuchuja kesho. Kesho tutaanza rasmi, tutakaa kamati ya maadili kupitia majina yote na tutajitahidi kuingiza vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.