mchinga

Mchinga is an administrative ward in Lindi District of Lindi Region in Tanzania.
The ward covers an area of 136.6 km2 (52.7 sq mi), and has an average elevation of 45 m (148 ft). According to the 2012 census, the ward has a total population of 6,063.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    GE2025 Salma Kikwete achukua barua ya utambulisho CCM, kuelekea INEC kuchukua fomu ya ubunge Mchinga

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mchinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Salma Kikwete, amewasili katika ofisi za CCM Wilaya ya Lindi Mjini kwa ajili ya kuchukua barua ya utambulisho. Barua hiyo inamwezesha kuelekea katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi mkoani humo kuchukua fomu ya kugombea...
  2. Mmawia

    GE2025 Familia ya Kikwete yakosa upinzani CCM mbio za ubunge majimbo ya Mchinga na Chalinze

    Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma. Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani. Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form. Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa...
  3. Stephano Mgendanyi

    DC Lindi Akamilisha Ziara Kata kwa Kata Jimbo la Mchinga kwa Kishindo

    _WANANCHI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MIRADI YA MAENDELEO _ Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Charles Mwanziva amehitimisha kwa kishindo ziara ya kikazi Kata kwa Kata katika kata zote za Jimbo la Mchinga- Lindi Manispaa ikiwa ni muendelezo wa ziara ya Wilaya nzima ya Lindi katika majimbo matatu ya...
  4. ESCORT 1

    Watu wa jimbo la Mchinga hii ni kweli?

    Nimeona Mbunge wa jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete akisema kuwa wana Mchinga wamempa kibali cha maisha cha kuwa Mbunge wao. Maendeleo huko Mchinga yapoje, mpaka wampe kibali kizito hivyo?
  5. L

    PreGE2025 Salma Kikwete: Mchinga Wamesema Ubunge Mpaka Nichoke Mwenyewe

    Ndugu zangu Watanzania, Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza. Hii ikiwa na maana ya kuwa yeye ndiye...
  6. W

    PreGE2025 Salma Kikwete: Tumejipanga kuiomba serikali pesa za kukarabati soko la samaki kwenye kijiji cha Mchinga

    "Jana tarehe 16/03/2025 nilipata wasaa wa kutembelea soko la Samaki la katika Kijiji Cha Mchinga II kilichopo katika Jimbo la Mchinga na kujionea shughuli za biashara ya Samaki zinavyofanyika. Hivi karibuni, soko hili limepatwa na kadhia ya Mafuriko yaliyopelekea Miundombinu yake kubomoka...
Back
Top Bottom