Baada ya kipind kile kuleta Ujinga wa kuniomba Kodi ya fremu kwa nguvu bila utu kipind ambacho nmetoka kuibiwa dukan kwangu, ikapelekea kuua kabisa Lile wazo langu la kumfungulia biashara yake ya urembo wa kina mama.
Sasa Ni mwezi umepita aliponiomba nimfikirie tena niurejeshe Moyo nyuma...