mchango wa yanga ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 CHADEMA yatoa tamko kuhusu sakata la Timu ya Yanga kuchangia Harambee ya CCM

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitaka Klabu ya Yanga kujiepusha na Siasa na kurejesha Shilingi milioni 100 zinazodaiwa kuchangia kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia GSM Foundation. Kupitia taarifa iliyotolewa Agosti 15, 2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi...
  2. Yanga wamefuta post ya kuomba radhi kuhusu mchango wa Tsh. Milioni 100 kwa CCM

    Wakuu! Klabu ya Yanga wamefuta post ya kuomba radhi, ambayo ilikuwa ikihusu mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa kwa CCM. Soma > Yanga wasema mchango wa Milioni 100 kwa CCM ulitolewa na GSM Foundation, Sio Fedha za Klabu Post ya barua hiyo ilisisitiza kuwa fedha hizo hazikutoka kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…