mbunge wa temeke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Egnecious

    PreGE2025 Mbunge Wa Temeke akiwasilisha Utekelezaji wa Ilani Kata ya Keko

    Mhe Dolothy Kilave katika utekelezaji wa majukumu yake Jimboni
  2. Knock life

    Yupo wapi Mtulia aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni 2015-2020 , watu wanataka kujua maendeleo yake ya Afya maana kuna ile karma ya Akwilina je imemrudia?

    Huyu Jamaa anaitwa Mtulia aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni 2015-2020. Mwaka 2017 alijiuzulu ubunge na akahamia Ccm . Wakati wa uchaguzi mdogo chadema walinyimwa viapo kwa mawakala wake. Na ndipo waliandamana na mwisho kikatokea kifo cha Akwilina. Naomba kujua ile dua na karma imeshamfikia...
  3. McLaren

    PreGE2025 Mbunge wa Temeke Dorothy Kilave ni ushahidi tosha kuwa Tundu Lissu alikuwa sahihi kuhusu sakata la Wabunge wa Viti Maalum

    Wakuu, Leo nilikuwa naangalia wasifu wa Mbunge wa Temeke, Dorothy Kilave na itoshe kusema kuwa Lissu alikuwa sahihi kabisa kuhusu hawa wabunge wa viti maalum. Huyu Dorothy Kilave yeye alikuwa ni diwani wa viti maalum kupitia CCM mwaka 2011 hadi mwaka 2015. From there akashika nafasi tofauti...
Back
Top Bottom