mbunge musukuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Mgogoro wa Ardhi Katoro: Mwenye hati ni CCM, sisi ni watoto wa CCM; tutashauri chama, mwekezaji anamuharibia Rais wetu

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mwalimu Jumanne Misungwi, ametaka hekima na busara zitumike katika utatuzi wa mgogoro wa eneo linalodaiwa kuwa mali ya Serikali, akisisitiza umuhimu wa kufanya vikao vya ndani ili kupata suluhisho la kudumu. Misungwi ametoa kauli hiyo kufuatia...
  2. McLaren

    PreGE2025 Kama sio sifa ni nini? Mbunge Musukuma atangaza kuwachangia gharama za kuchukua fomu, watiania wanaolitaka jimbo lake

    Wakuu, Yaani katika wabunge wenye sifa huyu nae ni namba moja. Mbunge wa Jimbo la Geita vijijini, anayemaliza muda wake, Joseph Kasheku (Msukuma) ameahidi kuwa atawachangia gharama za fomu wapinzani wake watakaopungukiwa pesa za kuchukua fomu ya ubunge wa jimbo hilo. Msukuma amesema hayo...
Back
Top Bottom