mbunge bwege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    'Rais' Samia na wabunge 'wako' mtaliliwa kama anavyoliliwa Bwege au Watanzania watakesha wakisherekea kama Mwaka Mpya?

    Wakuu, Katika vifo vya viongozi vilivyotokea hivi karibuni comment sections mtandaoni zilikuwa zimesheheni furaha ya Wananchi huku wakishikuru kwa 'kidogo' walichopewa. Hii imekuwa tofauti kwa Bwege. Wananchi wameonyesha uchungu wao kwa kumpoteza mwanasiasa huyu, akisiwa kwa kusimamia kweli ya...
  2. Mnhamba jr

    TANZIA Seleman Said Bungara (Bwege) afariki dunia

    Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu. 18 November 1961 - 30 Machi 2026 Pia soma Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri...
Back
Top Bottom