Wakuu,
Mchakato wa uchukuaji fomu unaendelea
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Butiama Jumanne Abdallah Sagini amechukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge kwa awamu ya pili kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo amekabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Butiama Mary Kananda jana Juni 28, 2025.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.