Jopo la Mawakili wa Makamu Mwenyekiti Mstaafu Wa Chadema- Zanzibar, Said Issa Mohamed na Wenzake ambao ni Mawakili Waandamizi Shabaan Marijani, Gido Semfukwe Na Alvan Fidelis Wamesema Chama cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA) Bado hakitakiwi kujihusisha na masuala ya siasa na kutumia mali za...
Mawakili wa CHADEMA wanaijibu Mahakama kuhusu zuio la viongozi wa chama hicho kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za CHADEMA.
https://www.youtube.com/watch?v=CWE21IAhJ9A
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kutoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa amri ya...
Wakili msomi Dickson Matata kwa kushirikiana na jopo la mawakili wa CHADEMA, wamefanikiwa kupigania haki ya dhamana kwa Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, ambaye alikamatwa usiku wa kuamkia leo Mei 13, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na kushikiliwa katika...
Kwa Kinyakyusa, Mpoki ni sawa na neno la kiswahili linalotamkwa Mwokozi, Muokoaji au Tegemeo la Watu.
Huyu Mpale Mpoki ndio Ingizo jipya ukilinganisha na ile timu iliyopambana kwenye kesi ya Ugaidi Iliyomkabili Freeman Mbowe, anatajwa kama Graduate wa Chuo Kikuu wa Mwaka 1985, ni Wakili...
Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi.
Wanasahau pasipo HAKI kutamalaki hiyo AMANI wanayo ubili ni sawa na kusukuma UPEPO.
Baadhi ya viongozi wa CCM...
CHADEMA walilamika kunyimwa fursa ya kufanya mikutano- wakapewa. Walichofanikiwa kikubwa ni kutufahamisha Samia ana mtoto anaitwa ABDUL.
Sasa kwa kuwatumia wanachama wao waliojificha kwenye uwakili wamegeukia mahakamani kwa kufungua kesi zisizo na kichwa wala miguu. Lengo lao ni kuichafua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.