mavumbini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Huu mwaka hatuchagui kazi;hii biashara ya kuuza links ndio ipoje nifungueni macho na Mimi nitoke huku mavumbini🙏

    Guys kwema Leo nimekua disappointed sana asee,kumbe sie wengine tunapigwa na jua hapa mjini kumbe Kuna vijana mpo magetini mnafinya computer na. Simu tu then mnapata pesa? Haya tusanueni🙏
  2. Samson Ernest

    Siku moja tutarudi mavumbini tulipotoka

    Mhu 3:20 SUV [20] Wote huendea mahali pamoja; wote hutoka katika mavumbi; na hata mavumbini hurudi tena. Kuongelea kifo sio jambo linalopendwa na wengi, sio jambo tunalolipenda, na ukiona mtu anapenda kifo basi ujue mafundisho fulani yamemfanya awe hivyo, au ana shida ya akili. Kutopenda kifo...
Back
Top Bottom