mauwaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kenya:kuna shaidi aliyetaka kutoa ushaidi kuhusu polisi kufanya mauwaji kwa mtindo wao wasiojulikana naye kafa.

    Polisi waogopeni sio tz wala duniani ni magenge ambayo kama yakikosa utawala bora ndiyo haya. Tukio lemetokea kenya huko kuna shuuda aliona kijana kutupwa mto mmoja kenya na polisi kwenye maandamano kenya yaliyotokea siku chache na yeye mda mda mchache alipotea. Jana alipatikana amefariki.
  2. mtu anayefanya mauwaji sababu ya madaraka ni chizi viongozi wa dini wanapaswa kuimarisha ulinzi wao wakati huu pale wanapo hamasisha haki

    Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
  3. Balozi za Marekani na uingereza na nyenginezo zinapaswa kulaani mauwaji, utekeaji, na uonevu unaoendelea Tanzania

    Nitoe wito kwa balozi zilizopo Tanzania kulaani mauwaji ya raia na uonevu unaoendelea kufanywa na jeshi la polisi nchini ili kuongeza uzito wa suala hili, matamko ya balozi hizo yatakuwa na mchango kubwa katika kuhamasisha mabadiliko nchini.
  4. Mashirika ya kutetea haki za binadamu na ya kisheria acheni kutoa wito kwa jeshi la polisi waorodhosheni kama magaidi wao wanafanya mauwaji makusudi

    Nimesikitishwa kusikia mashirika ya haki za binadamu na mengine ya sheria yanatoa wito kwa jeshi la polisi kuacha kutumia nguvu, hii sio mara ya kwanza kusikia kauli kama hizi na watu wamekuwa wanaendelea kuuwawa kwanini msiwaorodheshe kama magaidi kushinikiza mabadiliko. hayo matamko mepesi ya...
  5. ACT: Tunaitaka Serikali kuunda tume huru kuchunguza matukio yote ya Mauwaji, Vipigo na Utekaji, Zanzibar

    TAARIFA KWA UMMA (Tunaitaka Serikali kuunda tume huru kuchunguza matukio yote ya Mauwaji, Vipigo na Utekaji, Zanzibar) ACT-Wazalendo, tumepokea kwa mshituko taarifa ya kutekwa, ndugu Fakih Ali Salim, mwenye umri wa miaka 40 na mkazi wa Kijiji cha Chozi, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba...
  6. ACT Wazalendo: Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauaji ya Raia

    Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauwaji ya Raia) ACT Wazalendo tunalaani vikali tukio la mauaji ya kinyama dhidi ya Ndugu Juma Ame Ngwali, mwenye umri wa miaka 58, mkazi wa Kijiji cha Ndooni, Shehia ya Uweleni, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Marehemu...
  7. N

    Dar: Kijana auawa kwa kuchomwa moto kwa tuhuma za kuiba laki mbili

    Jumanne Juma(26), mkazi wa Mtaa wa Kimara B, wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam, ameuawa na watu aliokuwa akiwafanyia kazi za nyumbani kwa kumchoma na Petrol usiku wa Januari 23, 2025 wakidai amewaibia kiasi cha shilingi laki mbili kwenye mkoba alipoenda kudai malipo yake. Akiongea na EATV...
  8. Responded Kwa hali ilivyo ni muda wa kuwa na Tanzania Bureau of Investigation ambayo itakuwa inahusika na Uchunguzi pekee!

    Wakuu, Kiukweli tangu mwaka huu uanze kumekuwa na utitiri wa matukio ya mauaji na utekaji ambayo hakuna hata moja tumepatiwa majibu. Tukio likitokea, formula ni ile ile. Polisi watatoa "Statement" kwenye social media alafu mwishoni utakutana na sentesi ya UCHUNGUZI UNAENDELEA. Soma pia...
  9. LGE2024 Rais na Viongozi wengine wa Serikali ndani ya nchi kuto kulaani mauaji yaliyofanyika kwenye Uchaguzi sio sawa

    Kuna mauwaji ya kigaidi yaliofanyika kwenye uchaguzi huku wengi wameuliwa kwa kupigwa risasi, lakini cha kushangaza hatuwaoni viongozi wetu wakikemea vitendo hivyo kama vile ni vizuri hii sio sawa walio kufa ni ndugu zetu sio mifugo. Tuliona katika lile tukio la Zuchu kupigwa mawe na wananchi...
  10. Iringa: Polisi yaanza uchunguzi mauwaji ya Katibu wa CCM Kilolo

    Hivi nchi yetu tunaelekea wapi jamani? Maana matukio ya kutisha yanazidi kutoea. Haya Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa limeingia kazini kufuatailia tukio la katibu wa CCM aliyeuwawa leo, Je watachukua muda gani kuja na majibu na pengine kuwakamata hao wauwaji? ================== Jeshi la Polisi...
  11. Waziri Mkuu Majaliwa yupo kimya sana Juu ya mauaji na utekaji

    Salamu zangu zikufikie Mh. Majaliwa, pole na kazi, ningependa kujua ni nini kimekusibu, kutoka mbele na kukemea suala la mauaji na utekaji ndani ya inchi yetu? Mbona mwanafunzi akipotea huwa utoa magizo mazito ndani ya siku moja anapatikana. Wewe ndio mtendaji mkuu wa shughuli za Serikali za...
  12. Mfahamu Juma Jangalu anayedaiwa kuuawa na wafanyakazi wa OYA

    Huyu ndiye marehemu Juma Jangalu, aliyekuwa mfanyabiashara wa korosho kwa kutembeza mtaani, na pia alimiliki duka hilo hapo pichani. Huyu ndiye aliyeuawa na wakusanya madeni wa kampuni ya mikopo ya OYA huko Mlandizi. Juma hakuwa amewakopa OYA bali ni mkewe ndiye aliyekopa OYA tena bila...
  13. Afariki kwa kudaiwa kupigwa na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na Askari wa Jeshi la akiba

    Mkazi wa Kijiji cha Mwihitiri wilayani Ikungi mkoani Singida, Frank Joseph (28) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa pamoja na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na askari wa jeshi la akiba katika ofisi ya Mtendaji wa kijiji hicho ambako alikuwa ameshikiliwa na mtendaji wa kijiji hicho kwa...
  14. Arusha: Mfanyabiashara wa madini auawa mlima wa maombi, wauwaji watuma meseji

    Mwili wa Mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
  15. Tanzania ya Rais Samia ndiyo tunaitaka kwani ni ya amani, utu na upendo na wala hakuna mauwaji na mabaya kama ya kwingineko duniani

    Mwili wa mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
  16. Tanga: Mume atuhumiwa kumuua mkewe, dada wa kazi kwa kuwanyonga na kuwatoboa macho

    Polisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha (20) kwa kuwanyonga na kamba ya katani shingoni, kisha kuwatoboa macho. Taarifa iliyotolewa na...
  17. Hii Nguvu Kubwa ya VITISHO kwa Walioamua KUANDAMANA leo ingetumika kuzuia UTEKWAJI na MAUWAJI ningewaona wana AKILI

    Na msichokijua wale Wote ambao MNAYAPINGA haya MAANDAMANO ama kwa KUTOKUJUA kwakuwa hamna Akili au kwa KUHONGWA au kwa KUJIPENDEKEZA Kwenu ni kwamba tayari LENGO MAMA la kuionyesha Dunia kuwa Tanzania sasa kuna TATIZO limeshatimia hivyo WALIOPANGA KUANDAMANA wameibuka WASHINDI hata kama leo hii...
  18. R

    Viongozi wa CCM na kauli kinzani kwenye suala la utekaji, wananchi wabebe lipi?

    Salaam, Shalom! Sintofahamu inaendelea katika vyama vya siasa, wakati huu ni chama cha kijani. Katibu Mkuu wa chama cha kijani ametoka mbele na kukubali kukaa meza moja na kupata picha ya pamoja na katibu mkuu mwenzie wa chama cha bluu, akaenda mbali zaidi kwa kukemea mauaji ya wananchi...
  19. BAKWATA yataka uchunguzi huru mauaji, utekaji

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Septemba 16, 2024 akiwasili katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa mkoani Geita. Picha na Bakwata Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limeungana na wadau wengine kusisitiza uchunguzi huru dhidi ya matukio ya utekaji na mauaji ya raia. Kauli ya...
  20. J

    Familia ya Kibao: Muislamu akifa kinachofuatia ni Mazishi, mengine ataamua Allah!

    Baba mdogo wa Ally Mohamed Kibao amesema kwa mujibu wa Dini yao Mtu akifa kinachofuatia ni mazishi yake Hivyo wao Kesho mchana watamzika Mpendwa wao Ally Mohamed Kibao Mengine wanamwachia Allah Soma Pia: -Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…