Nimepatikana aiseeh, mapenzi ni upumbavu tu 💔❤️🩹, 2025 uwe mwaka wa mwisho wa mambo ya kupendana.
Kama ni lazima sana, basi tubaki na ngono tu kwa ajili ya kuzaliana ila mahusiano yasiwepo.
Mapenzi ni ujinga
Mapenzi ni mateso
Mapenzi ni maumivu
Mapenzi ni utapeli
Mapenzi ni uhayawani
Mapenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.