maudhui mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makonda: Rais Samia ametoa Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya Watengeneza maudhui Mtandaoni (Content Creators)

    Vipi Content Creator umeshaenda kuchukua mzigo? Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Wizara imepatiwa kiasi cha Tsh. 2 Bilioni itakayowawezesha watengenezaji wa maudhui mbalimbali mitandaoni kuimarisha kazi zao na kuwaongezea kipato kupitia majukwaa ya...
  2. Kodi ya Watengeneza Maudhui Mtandaoni: Ubunifu unakufa taratibu

    Ni Desemba 16, 2025, Kampuni ya Meta ilithibitisha rasmi kupokea ombi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) la kukata kodi ya asilimia 5 kwa kila malipo yanayolipwa kwa Watengeneza Maudhui (Content Creators) wanaoishi Tanzania. Utekelezaji wa mfumo huu unaanza Desemba 21, 2025, hatua inayozua...
  3. W

    Kwanini utumie "Hashtags" unachapisha Maudhui Mtandaoni

    Kutumia hashtag vizuri ni kama viungo kwenye mitandao ya kijamii, vinaweza kuongeza ladha na kusaidia maudhui yako kufikia hadhira yako na kuwafikia watu wengi zaidi. Hii itakusaidia kuongeza wafuatiliaji "Followers" wapya na kurahisisha upatikanaji wa maudhui yako kwa urahisi. Kutumia...
  4. Ila wakuu tuwe wakweli, maudhui mtandaoni yameharibika, yani ni makalio juu ya makalio kila kukicha. Matusi wazi wazi bila mafumbo

    Yani unaweka kila chaneli ya muziki ni vibinti viko nusu uchi na kibaya zaidi hata lyrics za siku hizi ni matusi ya wazi wazi. Yani unaingia tu insta, msambwanda huo, tuuuuu!!. Yani ni vibinti vinajibenua kila kona. Yani kuna aina fulani hivi ya binti wa aina ya kimalaya kimalaya ndio anakuwa...
  5. Wenye kutuma maudhui machafu mtandaoni nchini kukamatwa

    π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—” π—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜ π—žπ—¨π—§π—¨π— π—” π— π—”π—¨π——π—›π—¨π—œ 𝗠𝗔𝗖𝗛𝗔𝗙𝗨 π— π—§π—”π—‘π——π—”π—’π—‘π—œ π—žπ—¨π—žπ—”π— π—”π—§π—ͺ𝗔 Ongezeko la watumiaji wa intaneti Tanzania imezongezeka kutoka mwaka 2023 kwenda 2024/2025, huku zaidi ya watu Milioni 33.3 wanatumia intaneti ni sawa na asilimia 53.5% ya watu wote waliopo Tanzania. Ongezeko hilo limepelekea watu...
  6. Naomba ufafanuzi kuhusu hii biashara ya maudhui mtandaoni

    Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
  7. Naomba ufafanuzi kuhusu hii biashara ya maudhui mtandaoni

    Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
  8. PreGE2025 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yasitisha Leseni ya Mwananchi kutoa maudhui mtandaoni kwa siku 30

    KUSITISHWA KWA MUDA LESENI ZA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI ZILIZOTOLEWA KWA MWANANCHI COMMUNICATIONS LIMITED Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni Taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria ya Mamlaka ya Usimamizi wa Mawasiliano Tanzania, Sheria Na. 12 ya mwaka 2003, kusimamia huduma za...
  9. D

    Kwanini asilimia kubwa ya wanawake wanaotengeneza maudhui mtandaoni ni kuhusu mahusiano au ngono?

    Jamani naomba tusaidiane content creators wa kike asilimia kubwa ni kujadili mahusiano na ngono ni wachache sana wanaotoa maudhui tofauti. Maana kama vijana kuna mambo kibao ya kuongelea ila ukitoka wa kwanza anasema mahusiano mwingine anazungumzia ngono bila hata aibu. Na simaanishi kwamba wa...
  10. Hata kama ndio kutengeneza content ila hii hapana!

    Wakuu mko vyedi? Watengeza maudhui hawa walikaa chini wakafikiria wakaona hii ndio content inafaa na inachekesha kabisa?! Hapana jamani hii siyo sawa. Kwanza ni hatari kwao na hata kwa magari na watumizi wengine wa barabara. Mtu anatoka huko breki zimefeli anakuja kukuvaa utamlaumu nani, tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…