MAUAJI YA KISIASA (Political Assassinations) ni moja kati ya sera za kiutawala ambazo zimekuwa zikitumika tokea ustaarabu ulivyoanza kutokea duniani. Huwa inatumika kuwazima mara moja maadui wa kisiasa, maadui wa taifa au maadui wa kimaslahi.
Tatizo ni kwamba, tofauti na siku za kale ambapo...
Kwa Mara nyingine tena naandika nikilitaka Taifa, Lijiulizwe maswali haya Kisha liamue Je Rais Samia agombee hata kama Kavunja Katiba za Chama na Taifa, au Azuiliwe Kugombea Kwa namna yoyote inavyowezekana?.
Je Utekaji Mwisho wake utakua Lini ikiwa Rais Samia ataendelea ?.
Je Mauaji ya Kisiasa...
Mnapokua na Taifa kama la Tanzania, ambalo Utekaji na Mauaji ya Kisiasa yanendelea kúfanyika.
Wakati huohuo Jeshi la Polisi na vyombo vyote vya Usalama vikikaa kimya, maana yake ni kutengeneza mazingira ya Watu waovu Kupanga na kutekeleza Mauaji na vitendo vya kiovu bila kua noticed...
Kwanini taifa halijifunzi tu kwa kila maandiko na ushauri tunaoutoa wadau? Miaka 7 nyuma niliandika kisa muhimu kutoka Buenos Aires nchini Argentina, Niliandika nikionya serikali ya Hayati Magufuli kufuatia jaribio la Mauaji ya Mh Tundu Lissu ambalo hadi leo hakuna uchunguzi wa aina yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.