Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa majibu makali mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikiyashutumu mataifa ya Magharibi na asasi za kimataifa kwa kutoa kauli za upendeleo na "kuchagua matukio" kuhusu hali ya usalama nchini kufuatia uchaguzi wa Oktoba...
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo ameitaka Serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi kuhusu mauaji na ukiukwaji mwingine wa haki za binadamu uliofanyika katika muktadha wa uchaguzi wa Oktoba 29.
Hii inafuatia taarifa zinazoeleza kuwa miili ya watu waliouawa...
Tatizo kubwa la Samia ni Muongo hata kama ukweli upo wazi. Una tupa aibu kubwa. Yaani Rais wa nchi ambaye kwanza kapatikana kwa kura za mezani za uongo halafu kujidanganya vitu ambavyo viko wazi kwenye kamera na kusema vijana walio andamana sio Watanzania!
Uongo wa kiasi hiki huwezi kutegemea...
Jamaa Leo wamewasha mtandao lakini pia zimeanza kutiririka meseji kutoka jeshi la Polisi la kuwaasa watu kuepuka kutuma picha au video mtandaoni zenye kuweza kuzua taharuki.
Je, hii si ishara kuwa wanawatisha kisionekane kile Walichokifanya dhidi ya watanzania?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.