Tume zimekuwepo.
Maridhiano yamekuwepo.
Ahadi zimekuwepo.
Zote hazijaleta muafaka kwasababu lengo.soho kutatua matatizo, bali ni kupoza joto.
Haya majitu ni SHETANI wa DAMU.
Tanzania kwasasaa inahitaji UWAJIBIKAJI na HAKI vinginevyo MAUAJI ma UKATILI wa aina hii HAUTAKWISHA bali utaendelea...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amesema;
"Unaposema tusitetee Uhai wa Mtu, Mdude haonekani mpaka sasa hivi, alikuwa anachambua mambo ya Siasa ya Nchi wengine hawafurahi, sasa unaposema tusimtetee wakati sisi Kazi yetu ni kutetea Uhai wa Mtu...
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyosambazwa na Chama hicho
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mhe. Amani Golugwa Leo tarehe 8 Oktoba 2024, akiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tanga Mhe Jonathan Bahweje wamefika nyumbani kwa marehemu Ally Kibao, Jijini Tanga na kutoa rambirambi za pole kwa...
Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU.
Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi...
Nimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa anajisikiaje huko aliko? YUDAS ISCARIOT!
PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.