Wakuu habari,
Nimeamua leo nianze kwa gear ya maua.
Wengi wetu huwa tunashangaa sana pale tunapoona mchizi katoa laki 1 kununua uwa kumpelekea Mamsi wake, tukichukulianai ni kukosa matumizi sahihi ya pesa hata kukejeli kwamba si utamaduni wetu wabongo.
Nimetembelea sana maeneo ya karibu na...