Jana kwenye harakati zangu nikawa nimepata viji laki kadhaa. sasa miaka ya nyuma kuna binti nilipata kuzaa nae (waislamu wanaita mtoto wa haramu) nimekuwa nikipambana sana kupata taarifa za yule mtoto kuhusu maisha yake na afya yake pia , kuna nyakati nilikuwa nanunua nguo na vitu vingine kwa...