matukio ya oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Lila kuanza uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29

    Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza rasmi maandalizi ya utekelezaji wa majukumu yake. Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 24, 2026 jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Possi: Mwandishi aliyepewa tuzo ya Makala ya Oktoba 29 ni ya kiharakati zaidi

    Balozi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Dkt. Abdallah Possi, akihojiwa katika kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Media jana, Agosti 19, 2026, amezua mjadala mzito kuhusu vigezo na malengo yanayotumiwa na taasisi za kimataifa kutoa tuzo kwa waandishi wa habari wanaoripoti matukio ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka Matukio ya Oktoba 29, Vijana walivyouliwa , Watanzania KAMWE Msikubali MARIDHIANO, CCM lazima tuindoe, Na Wahusika Wawajibishwe !!

    Tukomae, Tupambane, ni mwendawazimu pekeee ambaye anaweza ku normalize Mauaji ya Oktoba 29, na kukaa na Samia, na kupiga Picha eti 'Tumeyamaliza'. Vijana waliuliwa kwa Risasi za Kivita , Snipers walipasua watu Vichwa vyao, bongo za Vijana zilimwagwa . Watanzania Msikubali kabisa Huo Upuuzi...
  4. JamiiForums Tanzania Ina maana aliwadanganya Watanzania kuwa ndani ya siku 100 suala la katiba mpya litaanza kushughuliliwa? Alikuwa na wenge baada ya matukio ya Oktoba 29

    Ahadi ni deni. Tena ahadi inayohusu masuala ya msingi ya kitaifa. Taifa linahitaji katiba mpya. Alitambumbua kabisa moja ya sababu zilizosababisha vurugu ni wananchi kutaka katiba mpya. Sasa hiyo ahadi imeyeyuka mithiri ya barafu. Siku 100 zimekuwa siku 4000.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkwere amekuwa na busara sana tangu matukio ya Oktoba 29 kutokea

    Naona kama amekuwa na kauli nzuri zenye mlengo wa kutetea maslahi ya watumishi. Hasa viongozi na wakuu wa idara ambao wamevimbiwa madaraka na kuwa wanazuia watumishi kuhama wakati ni haki yao. Naona tangu filling station za Lake oil tangu zichomwe amekuwa na busara sana.
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya USA kuipa kisogo Tanzania baada ya matukio ya Oktoba 29. Urusi ya Putin inaweza kuwa msaada?

    Naona kuna dalili kubwa kuwa taifa letu lina hali mbaya sana maana Usa na mataifa ya magharibi wamelitupa. Kukimbila kuwa karibu na Urusi kunaweza kuwa msaada kwa taifa hili ambalo mpaka sasa limechafuka dunia nzima kwa kuwa na serikali ambayo inatuhumiwa kuua watu ili ibaki madarakani? Pia...
  7. JamiiForums Tanzania 1/6/2026 Mahakama Kuu Kigoma kusikiliza maombi ya Marejeo yanahusu uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29

    TAARIFA KWA UMMA Kesho tarehe 1/6/2026 Mahakama Kuu Masijala ya Kigoma mbele ya Jaji Rwinzile itasikiliza maombi ya Marejeo (Judicial Review) yaliyofunguliwa na 1. Buberwa Ephraimu Kaiza 2. ⁠Joseph Daudi Mabugo Maombi hayo yanahusu uhalali wa Tume iliyoundwa na Mh. Rais ya Kuchunguza Ujinai...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asha-Rose Migiro: Oktoba 29 ilitushtua zaidi CCM, Tulipata mshangao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi , Dkt. Asha-Rose Migiro akifanya mahojiano na Crown Media ameeleza kuwa matukio ya vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025, yalishtua CCM "Tutakumbuka kwamba tarehe 29 Oktoba ni tukio ambalo lilitushtua wengi, na sisi wana CCM tulishtuka zaidi...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Kombo: Kila nchi tuliyoenda tuliambiwa kwanini Serikali haikuja mapema, tulidanganywa kuhusu matukio ya Oktoba 29

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa baada ya uchaguzi kuisha na Serikali ilichelewa kutoa taarifa ya matukio ya wakati na baada ya uchaguzi, na hata baada ya Serikali kuundwa na Rais kumtuma kwenda kutuliza mambo, kila nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana Niwaombe sasa mlindane wenyewe kwa wenyewe na msikubali kutiwa maneno

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Vijana wa Tanzania kutokubali kutiwa maneno na kushawishiwa ili waharibu amani akiwasihi wailinde amani ya Taifa kwa kulindana wenyewe na kuambiana na kuhakikisha yaliyotokea October 29, 2025 hayatokei tena. Rais Samia amesema hayo leo May...
  11. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ripoti ya Tume kuhusu matukio ya Oktoba 29 iliyokabidhiwa tarehe 23 mwezi huu imeibua mjadala mkubwa na kwa sababu za msingi kabisa

    Kwanza, ni muhimu kukumbuka kwamba chanzo cha matukio haya hakikuwa vurugu zenyewe, bali ni malalamiko ya muda mrefu ya wananchi yaliyokuwa yakijadiliwa wazi mitandaoni. Kulikuwa na ishara za kutosha kabla ya tukio, lakini badala ya mamlaka kusikiliza na kuchukua hatua za mapema, kulionekana...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kulikuwa na upotoshaji mkubwa habari za Oktoba 29 hususani vyombo vya habari vya nje na vya kimataifa

    Wakuu, Anazungumza Rais samia wakati akipokea ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu 2025
  13. JamiiForums Tanzania Siwezi kupoteza muda wangu kwa kusikiliza vihoja vya Tume ya uchunguzi! Hii repoti inaongeza hasira kwa wahanga

    Siwezi kupoteza muda wangu kwa kusikiliza vihoja vya Tume ya uchunguzi! Hii repoti inaongeza hasira kwa wahanga. Ukiisikiliza kwa makini na zile key points inaoneka ilikuwa imeshiba,ila ukija kusikiliza unakuta kuna uhariri wa ripoti hivyo mimi nitakutana nayo katika magazeti au katika...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yalipangwa na kufadhiliwa na watu waliopata mafunzo

    Wakuu, Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam Pasipo na shaka, kuwa matukio ya ghasia ya tarehe 29 Oktoba...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Mashahidi walikiri kupewa simu maalum kurekodi picha za maiti, na kupiga picha na magari ya polisi

    Vilevile mashahidi walioshiriki kufanya ghasia waliokuja mbele ya tume na kukiri kuwa baadhi yao walipewa simu maalum za mkononi na kupewa kazi ya kupiga picha na video za matukio. kama vile majeruhi na vifo au kupiga picha jirani na magari ya jeshi la ulinzi sambamba na picha za maeneo...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 sioni kuponya maumivu bali itaongeza maumivu na hasira za Watanzania

    Kesho Aprili 23 Inayojiita Tume ya uchunguzi wa Matukio ya uvunji wa amani na vurugu yalitokea Oktoba 29 inayoongozwa na Jaji Chande itatoa ripoti yake. Watanzania wengi wameikataa tume hiyo tangu kuundwa kwake na Samia kwa sababu ipo kwenye lengo la kuitetea serikali na Vyombo vya ulinzi na...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 kuwasilisha ripoti Aprili 23, 2026

    Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais Samia Suluhu. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande, wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 21, 2026 katika ofisi za Tume jijini Dar es...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA wafanya Dua kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29

    KATIBU wa Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa, Sheikh Hassan Said Chizenga, ameongoza dua maalumu ya kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29, akisisitiza umuhimu wa haki, uwazi na maridhiano katika mchakato mzima kuelekea ripoti ya tume hiyo. Dua hiyo inalenga kuiombea Tume iweze kutekeleza majukumu...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Doyo: Watanzania wote wana matumaini na Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29

    Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo amesema ana matumaini makubwa na Tume ya Jaji Chande inayochunguza Matukio ya Vurugu wakati na NA baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. CHUNGUZ Imani na matumaini ya Doyo kwa Tume hiyo yanatokana na ukweli kwamba Tume imesheheni watu Muhimu wenye ubobevu na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Muchunguzi: Hakuna anayejua kilichomo kwenye ripoti ya Tume matukio ya Oktoba 29, tusameheane yalishatokea hatuwezi kuyafuta

    Mchambuzi wa masuala ya siasa na diplomasia, Dennis Muchunguzi, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Aprili 13, 2026, amesema si sahihi kuanza kutoa hukumu au kuzusha taarifa zisizo na msingi kuhusu ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio Oktoba 29 wakati bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…