Na Mwandishi Wetu.
Babati, Septemba 2025: Kampuni ya Mati Super Brands Ltd kupitia taasisi yake ya kijamii, Mati Foundation, imezindua rasmi mradi mkubwa wa ugawaji wa pikipiki za magurudumu matatu zinazotumia nishati ya umeme kwa watu wenye ulemavu nchini, ili kuwawezesha kufanya shughuli zao...