matendo yako huumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The redemeer

    Mawazo, maneno na matendo yako huumba

    Unaweza kutengeneza maisha yenye furaha ajabu, au maisha yenye sababu nyingi kwanini, hili au lile haliwezekani kwako. Kuwa mwangalifu na maneno unayozungumza, kwako na kwa wengine. Fahamu mambo unayoamini kuhusu wewe na kuamini ndiyo uhalisia ulivyo. Kila unachoamini, ulianza kuamini hivyo...
Back
Top Bottom