Inaonekana kwa sasa kuna hali isiyo ya kawaida, kana kwamba polisi wetu wanapewa posho au zawadi kubwa pindi wanapoonyesha wamempiga mfuasi wa CHADEMA. ile video inayosambaa ikionyesha mfuasi mmoja aliyefika mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu leo akishambuliwa vibaya mno, kana kwamba alikuwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa wadhamini waliokwenda katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituoni hapo.
Taarifa ya chama hicho imeeleza kuwa waliokamatwa...