matatizo ya kiafya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi wanahudumia paka mwenye matatizo ya kiafya

    Habari, Kuna paka wa jirani hapa wamempiga jiwe kiasi kwamba mguu wake mmoja hawezi kutembea tena na anamaumivu sana. Naomba msaada nifahamu ni sehemu gani inawezekana kumpeleka akapata matibabu. NB: Wenye paka wamemuacha kama alivyo na hawajachukua hatua yoyote ya kitabibu 😢 NAUMIA SANA...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume ongeeni na wanawake zenu labda nyie watawasikiliza

    Huko kazini, nimekutana na case ya dada ametolewa cervix (mlango wa kizazi) kwa sababu ya kujifukiza na kujiingiza mavitu ukeni. Jamani, waambieni wanawake wasiweke vitu huko chini, athari zake ni kubwa na hakuna faida wala matokeo yoyote atayapata kwa kufanya hivyo zaidi ya kuwa na harufu...
  3. JamiiForums Tanzania Wakatoliki wenzangu hivi ni kwanini Mapapa wengi huwa tunawachagua wakiwa ni Wazee na huja Kugundulika na matatizo ya Kiafya baadae

    Hakuna uwezekano wa kufanyika Mabadiliko wawe Wanachaguliwa Vijana au Wazee wa Makamu kuwa Mapapa? Na huko Vatican wakati wanachagua hawa Mapapa huwa wanakuwa Makini sana pia kuangalia na Hali zao za Kiafya kwani Wakatoliki (GENTAMYCINE nikiwemo) tumechoka na Vifo vyao vitokanavyo hasa na Afya...
  4. JamiiForums Tanzania Neno 'Mzima wa Afya' lina maana kubwa

    Ndani ya masaa 24 nimetumia dawa zote hizo hakuna nafuu niliyopata bado sikio la upande wa kulia linauma kichizi kama mtu ananichoma na msumari tena wa moto. Siwezi kulala, siwezi kutembea hata umbali wa hatua kumi bila ya kukaa chini ndani ya muda mfupi nimeona dunia kama hell. Nimepita picha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…