mataa kilwa road

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BIGURUBE

    KERO Traffic Lights za Kilwa road ni kero

    Ukipata barabara ya Kilwa kuanzia Central police hadi mbagala zimewekwa taa Hivi karibuni, hizi taa zimeweka kila baada ya kila baada ya meta 50-100, zinasababisha foleni kubwa sana, mbaya zaidi nyingi hazipo kwny junction zaidi ya vivuko vya waenda kwa miguu. Wahusika hasa temesa waliangalie...
  2. BabaMorgan

    Pongezi kwa barabara ya Kilwa kuwekewa taa za kuongozea magari

    Maendeleo hayana chama, aliyetoa fedha kwa ajili ya mataa Kilwa Road anastahili pongezi. Zama za kuviziana zimefika tamati. Pia soma: Barabara ya makutano ya VETA na Chang'ombe hakuna mataa na taa za barabarani hazifanyi kazi, ni hatari kwa wananchi Barabara ya Ilala Boma iwekwe mataa ya...
Back
Top Bottom