Mtangazaji huyo wa Michezo alikuwa kibarazani kwake alipokumbwa na shambulizi hili.
Marehemu hakuwa akiandamana lakini kama ilivyoripotiwa awali, alipigwa risasi.
Leo mwili wake umepumzishwa katika “nyumba yake ya milele”.
Aliwahi kufanya kazi Radio One na ITV
Pumzika salama ndugu yetu...
Tindwa amepigwa risasi akiwa kibarazani kwake tu; wala sio kwenye maandamano.
Inaonekana Polisi now hawavai sare zao.
Wanavaa kiraia na wanatumia magari ya kawaida. Wanaofanya matukio haya wamevaa kininja na wanatumia IST.
Pole sana Tindwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.