Katika hali ya mstuko, wadudu jamii ya nzige wamevamia mazao eneo la Sukita huko Tabata. Wameleta uharibifu kama wa kutafuna miti, mahindi na mboga za majani.
Wakazi wa eneo hilo wamesema kwamba nzige hao wamevamia eneo lenye kijani kibichi usiku wa kuamkia leo na muda unavyozidi kusogea eneo...