masaji

Masaji (written: 政司, 政治, 政次, 正次, 雅治 or 正二) is a masculine Japanese given name. Notable people with the name include:

Haguroyama Masaji (羽黒山 政司, 1914–1969), Japanese sumo wrestler
Masaji Hiramatsu (平松 政次, born 1947), Japanese former professional baseball pitcher
Masaji Iguro (伊黒 正次, 1913–2000), Japanese ski jumper
Masaji Kitano (北野 政次, 1894–1986), Japanese physician, general and businessman
Masaji Kiyokawa (清川 正二, 1913–1999), Japanese swimmer and businessman
Masaji Kusakabe (born 1946), Japanese golfer
Masaji Matsuyama (松山 政司, born 1959), Japanese politician
Masaji Ogino (荻野 正二, born 1970), Japanese volleyball player
Masaji Shimizu (清水 雅治, born 1964), Japanese baseball player
Masaji Taira (平良 正次, born 1952), Japanese karateka
Masaji Tajima (田島 政治, born 1929), Japanese long jumper

View More On Wikipedia.org
  1. Riwaya: mafuta ya masaji (Action na Mapenzi)

    𝐌𝐭𝐮𝐧𝐳𝐢: Saul David Bril 0756862047 __________________ Sehemu ya kwanza... UTANGULIZI Sikujua kama mwanzo wa mapenzi ni mwisho wa amani yangu. Kila kitu kilibadilika siku ambayo nilimwona kwa mara ya kwanza mwanamke fulani wa hadhi ya juu. Alikuwa akibadilisha mavazi ndani ya gari bila kujua...
  2. B

    Nafuta mtaalamu wa mifupa au mishipa niwe nafanyiwa masaji

    Wakuu heshima yenu Kwa anayejua sehemu nzuri ya kufanyia masaji ya low back kwenye mgongo na miguu misuli inakaza sana kwa hapa Dar penye gharama nafuu naomba kuelekezwa mambo ya kuenda muhimbili siwezi gharama
  3. Masaji ni starehe ambayo watu wanaichukulia poa sana

    Kushikwa shikwa mgongoni, hata kama bila mafuta, yani mikono mikavu tu, kuna relaxation unaipata. Yani kama ni usingizi unakuja bila ya wewe kujua, kwa maoni yangu hii ndio starehe kubwa, na pia inafaida nyingi sana kiafya.
  4. Nimeshangazwa na uwezo wa kufanya masaji wa msichana huyu wa kiarabu kutoka Kariakoo jijini Dar es Salaam

    Umri wake ni miaka 26 na jina lake linaanzia na herufi H. Wakati naenda kukutana nae kwa mara ya kwanza I thought my friend was joking with me. Kwa sifa alizo kuwa anampa kwa sababu alikuwa anampa sifa ambazo tumezoea kuzisikia kutoka kwa wasichana wa kimwera, wayao, WAMAKONDE, wadigo etc...
  5. Kenya: Wabunge wanyimwa huduma za "Masaji" na Urembo kwenye Bima ya Afya

    Wabunge walitaka huduma za Urembo na "Massage" zijumuishwe kwenye Vifurushi vya Bima za Matibabu yao ambapo Tume ya Huduma za Bunge (PSC) imekataa na kuwataka kutumia fedha zao wenyewe kupata huduma hizo. Hata hivyo, Wabunge hao watapata Bima ya Tsh. Milioni 206 ikijumuisha na familia zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…