Na Bwanku Bwanku.
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesifu na kupongeza hatua madhubuti alizoanza kuzichukua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuliweka Taifa katika hali ya amani, umoja na mshikamano kupitia kuongoza maridhiano ya kisiasa...