Baada ya Marekani kuanza kusogeza madude kuelekea karibu na Iran, haya Uingereza nao pia wameanza maandalizi, makobaz mumeonywa siku nyingi muache ugaidi, muishi kwa amani na dunia ila mlishipaza shingoni, Israel imesambaratisha uwezo wa Iran kuzuia makombora, Sasa muda wowote tutashuhudia Iran...