marekani na israel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utawala wa Ayatollah ni muovu sana ila Marekani na Israel wanajichanganya sana pia

    Kabla ya Trump kuingia madarakani awamu ya kwanza, Obama alikuwa amefanikisha kupatikana kwa makubaliano ya udhibiti wa nuclear Iran yaliyojulikana kama Joint Comprehensive Plan of Action(JCPOA) mwaka 2015 ambayo ilikuwa ni kuhakikisha Iran inarutubisha uranium kwa matumizi ya kiraia tu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Uchambuzi : Marekani na Israel inakuza na kulea Ugaidi na Magaidi

    Moja kwa moja... Kabla sijaanza mada yangu ningependa kuweka wazi msimamo wangu wa tokea awali katika yale yanayoendelea Gaza ; 1. Siwaungi mkono Hamas na njia wanazotumia ambazo hazikubaki kidini wala kikawaida tu , ukijumlisha utekaji wao wa watoto , Wazee , wanawake na makandokando yao...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani na Israel wamejitwisha mzigo ambao sasa unawaelemea. Mgongoni hawataki ubaki na kuutua hawawezi

    Mzigo wa kupambana na Hamas awali ulionekana ni rahisi sana na kwamba kazi ingeisha mapema.Hali imebadilika katika mpindo wa U. Baada ya takriban miaka 2 mzigo umewachosha sana.Umekuwa kama mzigo wa tego unaoganda kichwani kwa mwizi. Uongozi wa Israel ungependa ione Gaza yote ni nyeupe kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…