Nimeshuhudia mapokezi ya leo ya Taifa Stars. Kwa maandalizi na ukubwa wa tukio, ni kana kwamba wamechukua ubingwa wa AFCON, ilhali walishia hatua ya 16 bora, na hata kufika hapo walipata nafasi kupitia best losers.
Sasa swali linabaki: gharama zote za maandalizi haya zimetoka kwenye bajeti ipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.