mapenzi pesa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr leader

    Mapenzi pesa

    Nilimpenda kwa dhati. Sio kwa sababu ya uzuri wake tu, bali kwa namna alivyonifanya nihisi – kuwa mimi ni wa thamani, hata nilipokuwa sina kitu. Lakini mapenzi peke yake hayakulisha njaa, hayakulipa kodi, hayakunipa uwezo wa kumtoa hata mara moja. Siku alipoondoka, alisema kwa sauti ya upole...
  2. Fauya

    Kwenu mnaolalamika kuwa wasichana wanapenda pesa

    Nyie mnaolalamika wanawake wa sikuhizi wanapenda hela inaonesha hamjakaa na bibi zenu wakawaambia maisha yalivokuwa kipindi hicho miaka ya 1940, 50, na miaka ya zamani mingine. Mwanamke alikua anaolewa na mwanaume mwenye uwezo wa kumuhudumia yeye pamoja na watoto wake na pia ikitokea tatizo...
  3. Silivian

    Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango

    Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango. Anakununulia boxer na t-shirt, halafu anakukumbusha kuhusu zawadi kwenye siku ya kuzaliwa kwake. Anakununulia vocha, kisha anakwambia ubovu na kuichoka simu yake ya sasa. Sent from my TECNO...
Back
Top Bottom