Habari wanaJF
Hivi karibu nlienda Moshi safari kikazi nikakaa wiki maji niliyoogea kule ni ya magadi na haikuwa tatizo. Ila baada ya kurudi nawashwa mapajani na tezi dume ikifuatiwa na kubanduka kwa ngozi (peeling) kama inavyoonekana kwenye picha.
Sijadate na mwanamke yeyote wala kula cha mtu...