Ua zuri lenye harufu ya kuvutia mi nalifahamu kwa jina la KILUA, haya maua nayaona sana maeneo ya pwani ebu wanayoyafahamu wanieleweshe zaidi kuhusu huu mti unaotoa haya maua.
Nahitaji kujua pafyumu zingine zinazoizidi ubora na uromantic wa hii kuruthumu.
Binafsi siifahamu sijawahi kutumia naomba uzoefu toka kwenu wazee wa baraza.