mange

Mange is a type of skin disease caused by parasitic mites. Because various species of mites also infect plants, birds and reptiles, the term "mange", or colloquially "the mange", suggesting poor condition of the skin and fur due to the infection, is sometimes reserved for pathological mite-infestation of nonhuman mammals. Thus, mange includes mite-associated skin disease in domestic mammals (cats and dogs), in livestock (such as sheep scab), and in wild mammals (for example, foxes, coyotes, cougars, and bears). Since mites belong to the arachnid subclass Acari (also called Acarina), another term for mite infestation is acariasis.
Parasitic mites that cause mange in mammals embed themselves in either skin or hair follicles in the animal, depending upon their genus. Sarcoptes spp. burrow into skin, while Demodex spp. live in follicles.
In humans, these two types of mite infections, which would be known as "mange" in furry mammals, are instead known respectively as scabies and demodicosis.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh: TEC Mnatakiwa mjue hii nchi sio ya kwenu, Kauli za Kitima hazitofautiani na Mange aliyelaaniwa

    Wakuu, Tunaendelea pale tulipoishia Shekhe anatoa hoja zake kwa Baraza la Maaskofu TEC, Padre Kitimana Mange Kimambi Hoja za Sheikh - Kwani Kitima ni nani? Maana anafanya mambo utafikiri ni Waziri Mkuu - Halafu hawa TEC wanatakiwa wajue hii nchi sio ya kwao - Kauli za Kitima hazitofautiani...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange alituaminisha kuwa Oktoba 29 kuwa Jeshi na polisi wote wapo kwetu sisi tutoke tu kisha wao wamalize

    Mzuka wana Jamvi ? Nakumbuka siku karibia na October 29 Mange alituhakikishia kuwa tusiliangushe Jeshi na kwamba vyombo vya usalama Jeshi na polisi hawapo pamoja na Rais Samia na wanatumia message maofisa wengi na Askari wakimtaka awaaambie Watanzania watoke kwa wingi wasipoteze hii nafasi wao...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Madeleka: Kesi ya Mange siyo halali ni kinyume na sheria

    Wakili Peter Madeleka akizungumza na DW leo Novemba 4, 2025 ameeleza kuwa kesi ya Mange inayohusu utakatishaji fedha linalohusisha shilingi milioni 138.5 za Tanzania ni kinyume na sheria kwa maana kwamba siyo halali akibainisha sheria ya uhujumu uchumi sura ya 200 huwezi kumshataki mtu ambaye...
  4. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally

    Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani Kesi yake ingekuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe mama huwa anamfuatilia Mange! Sasa huwa anavumilia vipi yale matusi

    Juzi kwenye hotuba yake alitudhihirishia ni kwa namna gani yeye humfuatilia Mange, sasa sijui huwa anayavumilaje yale matusi makali ya mange. Manage hupendelea kusema "... Mafy ya...yanagonga...". Kwa kweli Kuna watu Wana roho ngumu kama jiwe. Ni hayo tu 😎.
  6. JamiiForums Tanzania Akaunti ya Mange inaweza kurejeshwa baada ya saa 24 kwenye Instagram. Hii imetokana na kauli za hasira na matusi aliyochapisha

    Mange account yake inaweza kurejea baada ya masaa 24 instagram hii nikutokana na kauli za hasira na matusi alizochapisha. Aidha bado unaweza kumfuatilia Twitter, tiktok na kwenye mitandao mengine katika kipindi hiki mapambano yaendelee lazima tukomboe nchi kwa gharama yoyote. Hakuna kurudi...
  7. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: Siku Mange Kimambi akimamatwa, akashitakiwa na kutiwa hatiani kwa kesi hii, basi hiyo siku ndiyo YESU atarudi rasmi duniani😀

    Huyu Peter Madeleka huyu, sijui kwanini anaongea kwa mafumbo (rhetorically) badala ya kusema kwa uwazi tu ili Hamza Johari na Nassoro Katuga waelewe kirahisi🤔🤔😀😀 Fumbo mfumbie mjinga lakini mwerevu............................(malizia) #D9 #SAMIAMUSTGO
  8. JamiiForums Tanzania Account za Mange Kimambi na Wananchi Forum zote zimefutwa Instagram. Inafurahia mauaji ama kweli mnyonge Hana haki duniani

    wamefuta
  9. JamiiForums Tanzania Kushitakiwa kwa Mange, makosa ya uchumi, anaweza kurudishwa Tanzania kuhukumiwa na Mahakama zetu

    Inasemekana Mange wameshtakiwa hapo Kisutu Kwa makosa ya kiuchumi. Kumbuka Ahadi ya kwanza ya mwanasheria mkuu wa serikali ilikuwa kumrudisha na kumkamata Mange ambaye anaishi. USA na Sasa ni raia wa Marekani Sijui sheria za kimataifa zikoje, ikiwa nchi x itamtaka raia wako afike kushitakiwa...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana wajinga walikuwa wanasubiri jeshi lichukue nchi na kumuondoa Samia kwa amri ya Mange Kimambi

    Samahani sana kama nitawakwaza kwa kusema 'Tanzania ina vijana wajinga sana'. Chanzo chao cha habari za kuaminika ni Millard Ayo. Chanzo chao cha maarifa na Elimu ni Mange kimambi. Vijana wa Tanzania waliamini kwa 80%-90% au zaidi kuwa Tarehe 29 September jeshi la ulinzi lingekwenda kuipindua...
  11. JamiiForums Tanzania Mange anadai tar 29/10 askari na wanajeshi wengi walikufa

    Habari wakuu. Dada wa taifa anadai tar 29/10 siku ya uchaguzi askari na wanajeshi walikua wanauwana wenyewe kwa wenyewe na walikufa wengi tuu, swali ninalojiuliza mbona hatujaona hata picha au video hata moja ya askari au mwanajeshi kafa???? Btw namuamini Mange kimambi.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Informers wa Mange Kimambi huwa wanampa matango pori sana

    Nimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu. Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za kutumiwa pesa eti za shukrani kwa kazi nzuri ya kuua watu waliyoifanya, nimeangalia tarehe ya hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Ulipo wapo, Serikali ipo na mkono mrefu - Ukitaka siri fanya pekee yako (Kwenye Bar, Makanisani, Misikitini, Kokote wapo) Mange mkwanja tu anatoa siri

    Ukishaitambua Serikali ni nini hakika hutaweza kuanza kuleta mawazo mgando. Kona zote za nchi Serikali inafanya kazi, Sasa hivi serikali inaundwa kila kitu kitakuwa mahali pake. Vijana wa Gen Z watashangaa kuona babu zao wanawasaliti. Wataingizwa kwenye mkenge. Wazee wamekaa kwenye migawahawa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sijawai kumkubali Mange ila sioni anaemfikia hata robo kuconnect dots, kutumia mitandao kuingiza hofu au matumaini, kucontroll wafuasi, n.k

    Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi. kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi mbona haji tena na swaga la Jeshi lipo na nyie?

    Naangalia youtube hapa kwenye TV namsikia kidada anasema Watanzania wasirudi nyuma, ohhh vijana endeleeni kweli? ahaaa ahaaaa ahaa yaani anachochea bado tu na wajinga waje wakubali ? KWELI WATANZANIA TUMELOGWA ndo maana kiboko ya wachawi mkongomani alisema Watanzania ni wajinga sana naanza...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Shekhe Mwapopo amcharukia Mange, adai amechochea maandamano na kusababisha mauwaji ya watu

    Shekhe Mwapopo ameamua kuvunja ukimya baada ya yote kutokea ameeleza chanzo cha haya yote mbali na hayo ametangaza vita kubwa na Mwanadada mange Kimambi kwa kusema anandaa jambo kubwa ambalo litahudhuriwa na watu wengi wakubwa wa ndani ya nchi na nje ya nchi ambapo pia amesema licha ya wageni...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana Abdul mtoto wa Rais Samia ana uraia wa UAE!

    Kwa mujibu wa mwana mama Mange kimambi, ametoa madai mazito ya kwamba mtoto wa rais Abdul Ameir ana uraia wa UAE. Hii imenikumbusha Sakata la rais wa Madagascar aliyetumuliwa na Gen Z na kugundulika ya kuwa alikuwa na uraia wa Ufaransa. Anyway, tujipe muda tu
  18. JamiiForums Tanzania Gen Z tusimsikilize Mange Kimambi, 09/12 tujihami kwenye maandamano

    Jana Mange kimambi alitoa hamasa ya Watu kuandamana 09/12, na kusisitiza maandamano ya amani. Binafsi napiga vikali hoja hiyo, maandamano ya MO29, yame trend Dunia nzima, na kumchafua vibaya sana Samia kutokana na civil disobedience. Kitendo Cha raia kuchoma vituo vya kupigia kura, magari...
  19. JamiiForums Tanzania Napendekeza Mange Kimambi awe Mkuu wa Idara ya Upelelezi na ujasusi wa Gen Z

    Habari. Napendekeza Mange Kimambi awe mkuu wa idara ya upelelezi na ujasusi wa Gen Z. Tukishamteua, naye atateua/atapndikiza agents katika idara nyeti kama jeshini, polisi, uhamiaji hadi ikulu ambao watakuwa wanampa habari. Pia, napendekeza au nasharu kuwe na viongozi wa Gen Z katika mikoa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi amemuuza Rasmi Mange Kimambi. Funguo rasmi ya udhibiti wa umma iliyoporwa Oktoba 29, inaenda kurudishwa

    Ukweli halisi wa kilichotokea Oktoba 19 umezimwa. Watu hawana mida tena wa kutafuta kilichojiri, badala yake wanafikiria kufanya maamdamano mengine bila tathmini ya kikichotokea. Kumbuka hatudili na serikali ya watu, bali ni kikundi cha kigaidi. Imeshafahamika, Wanapiga CURFEW Wanazima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…