maneno makali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    GE2025 Bwege: Heche aliniambia walitaka kwenda ACT lakini Zitto aliwakataa kwa kuwa wangemuaharibia kwani aliahidiwa mambo mazito na Rais

    Mwanachama wa ACT Selemani Bungala Maarufu kama Bwege anaeleza kuwa wakati mambo yanatokota kipindi cha Mbowe pale CHADEMA, Heche na wenzake walitaka kuhamia ACT Wazalendo lakini Zitto aliwakataa kwa sababu wangeendeleza siasa zao za maneno makali na hivyo kumuharibia kwa Rais ambaye alikuwa...
  2. Huyu dada anahoja lakini anaiwasilisha kwa maneno makali sana!

    Anaongea point Sana Lakini anatumia hip-hop iliopita kipimo Minamshauri apunguze ukali wa maneno maana anashambulia Sana, japo anayoongea Yana ukweli.
  3. Sababu za mtu kuwa na maneno makali ya laana, kauli chafu, hasira kwa wengine ni

    Sababu za mtu kubeba au kusema maneno makali, machafu, au ya laana zinaweza kuwa nyingi na zinahusisha nyanja za kiroho, kihisia, kisaikolojia, na kijamii. Hapa chini ni maelezo ya kina kuhusu sababu kuu: --- 🔥 1. Mzigo wa Kiroho au Laana za Kizazi Mtu anaweza kurithi laana, chuki, hasira, au...
  4. Manara aomba msamaha kwa dharau alizowafanyia Magereza

    https://youtu.be/yb-hC6suofc?si=kI9uE3IMw8NYkp_c Huyu wana mchekea wangemchukulia sheria. Kuwa albino isiwe sababu ya yeye kutukana watu kwa kivuli cha ulemavu yeye sio albino wa kwaza Pia Soma: Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa...
  5. Nyimbo za wasanii wa Kibongo za baada ya wapenzi kuachana zimejaa maneno makali ya jazba tofauti na za wazungu

    Soma mashairi ya wimbo SITAKI DEMU wa Juma Nature na ule wa Doing just fine wa Boyz II Men uone tofauti. Title: Sitaki demu Artist: Juma Nature (Verse 1) Nakuomba usije kwetu mamdogo utatia hasara Uyo mdogo wangu mwenyewe toka atoke shule hajala Aaah bwana eh usinifate bwana We si ukalale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…