mambo haya usimwambie mumeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The redemeer

    Sentensi 13 ambazo hupaswi kumwambia mume wako

    1. "UNAPASWA KUWA MWANAUME" Ikiwa nia yako ni kumtia moyo awe bora zaidi, haya si maneno sahihi. Maneno haya humfanya ajihisi kudharauliwa na kupuuzwa. 2. "NIPIGE KAMA WEWE NI MWANAUME KWELI" Usimchokoze. Usimjaribu. Usijiweke katika hali ambapo nyote wawili mnaweza kusema au kufanya mambo...
  2. Jaji Mfawidhi

    Mambo 5 mwanamke hapaswi kumwambia mume wako! Never!

    MAMBO HAYA USIMWAMBIE MWANAUE WAKO, HATA KWA KISU SHINGONI:- Mwanaume aliyekutoa Bikra [aliyeku'bikiri], hapa hata kama wewe ni malaika utamu-umiza sana mwanaume, hatokaa asahau, ataumi sana, akikuuliza mpige chenga! Usimwambie kama uliwahi kufikishwa kileleni ama la, kuwa mjinga wa mapenzi...
Back
Top Bottom