Mapema jana taarifa za kifo cha Anayedaiwa kuwa mama yake Msigwa
zilisambaa katika mitandao ya kijamii.
"Kwa mara nyingine naomba kuwajulisha kuwa Mama yangu mzazi YUPO HAI, hajafariki dunia kama ambavyo baadhi ya watu wamechapisha kwenye mitandao yao ya kijamii na kuzua taharuki. Mnasababisha...