mama mtilie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OleWako

    Presha Kuka

    Kuna supu inayochemka kwenye presha kuka. Ndani yake kuna kuku wa kienyeji, viazi, na ndizi – vyote vimeshaiva tayari. Lakini Mama Ntilie kaenda kando, anakula chapati zake kwa utulivu. Ameketi kwenye kiti chake cha plastiki, cha kijani kibovu. Kiti hicho kimechoka; mguu mmoja ulivunjika jana...
Back
Top Bottom