Watumishi walioajiriwa mwezi Juni 2022 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe tunaomba haki yetu ya msingi itendeke. Pamoja na kutimiza wajibu wetu wa kazi kwa uaminifu, hadi sasa wengi wetu hatujafanyiwa utaratibu wa kupandishwa madaraja kama sheria na taratibu za utumishi wa umma...
Anonymous
Thread
haki
juni
kupandishwa madaraja
madaraja
malalamiko
malimbikizoyamishaharamishahara
watumishi
Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba kuna changamoto ya ufatiliaji na ulipaji wa stahiki za watumishi hasa Fedha za likizo na malimbikizo ya mishahara.
Ukifatilia kwa maafisa utumishi wanakuambia jaza fomu maalumu(unajaza) pamoja na barua za maombi lakini hayafanyiwi kazi tunapata changamoto tusaidiwe.
Ebana wanajamvi inakuwaje?
Kampuni ya ulinzi Bond security Arusha imefunga mageti yote ya Hospitali ya Selian Jijini Arusha na kuondoka.
Kampuni hiyo ilifanya hivyo kwa kudai malimbikizo ya mishahara ya miezi 6 shilling million 42.
Ambapo mkuu wa kampuni hiyo ya ulinzi akisema waliwapa notice...